Huko Mexico, nchi iliyo na zaidi ya watu 110,000 waliopotea kulingana na takwimu rasmi, pia kuna visa vingine vyenye mwisho mzuri ambao unawakilisha mwanga mdogo wa matumaini kwa familia nyingi kwamba ...
Binti yake wa miaka kumi na minne alipoanza kuzungumza na vijana wengine kwenye mtandao, mama yake hakuwa na wasiwasi sana. Lakini wiki chache tu baadaye, Christina (sio jina lake halisi) aligundua ...
Zanzibar. Wakati mama mzazi wa msichana anayedaiwa kutaka kujiunga na Kundi la Al-Shabaab, Tahliya Sadir akisema kuwa anamwachia Mungu suala la binti yake, babu na bibi yake wameonekana kushtushwa na ...
Nimefurahi sana kwani binti yangu mwenye ulemavu ambaye tulihamia naye makazi ya muda kufuatia kuongezeka kina cha maji ya Ziwa Tanganyika, hapa Burundi sasa amepatiwa stadi za kumwezesha kujikwamua ...